CONTACT US:

CONTACT US:
Mobile : 0755 484866
EMAIL : socialworkertz@yahoo.com

Thursday, April 12, 2012

SHUJAA WETU EDWARD MORINGE SOKOINE

Tunakumbuka kama vile ilikuwa jana ile Alhamisi ya Aprili 12, 1984 ambapo Taifa lilimpoteza Edward Moringe Sokoine - Waziri Mkuu. Alikuwa ni mtu wa kwanza ambaye alitambua kwa kina vita ambayo imekuja kujithibitisha miaka karibu thelathini baadaye - kwamba wapo watu ambao wanaweza kutumia umaskini wa wananchi wetu kama mtaji wao! Sisi tuliwaita "wahujumu uchumi" leo wanaitwa "mafisadi" kiukweli ni watu walewale!!! Alikuwa ni shujaa wa kwanza katika mioyo ya Watanzania aliyewapigania wananchi wanyonge hasa na hadi sasa ndani ya CCM bado hajatokea mtu wa namna hiyo!!! RIP Sokoine!!!!

No comments:

Post a Comment